Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
8/Wrestling![]()
![]()
Huu mchezo ukiwaangalia akina John Cena,Hulk Horgan ,Machoman n.k utauona kama maigizo tu
Kuna mieleka ya aina nyingi pia ya ridhaa...hapa pia wanakutana madume ya soka mwendo wa kupogana vipepsi na makabali tu
Wengi huvunjika mifupa..pia inapotokea mtu kurushwa nje ya ulingo ni hatari
Pia ulingo unapowekewa sentence
Don't try this at home!!!!
.........
Ni hatariii