Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,560
Hahaaaa yaaan napenda tom jerry balaaa Mdau hebu niwekee picha ya tukatuni tunatoitwa Rabid invasion na Teenage Mutant Ninja Turtle..
Binamu yako ana ugonjwa Wa moyo lakini
Chagua wewe tuuuJifikiriee nikimaliza kuongea ma wapiga kura wangu tujadili
9/Rugby
![]()
![]()
Huu mchezo nao ni hatari
Kwa Afrika unachezwa zaidi wazungu Wa Afrika ya Kusini
Wachezaji wake ni mbavu nene maana kuna kukimbia,krruka na kusukumana hivyo wengi huumia mbavu,kuvunjika pia,kuzimia n.k
Ajali zake mbaya mara nyingi ni zile za kugongana ambazo wachezaji huzimia na hata kupoteza maisha
........
Mwambie ashushe movie Review kwa vipicha..pia aweke vitom jerry
nimemwambia achague mwenyewe tuAsanteTOP TEN
Michezo ni furaha,michezo hukutanisha watu wa kila sina
Sasa leo tuangalie mivhezo kumi maarufu zaidi ambayo ni hatari kwa kusababisha majeruhi ni vifo vingi
Karibuni
......
10/Motorcross
Haya ni maonyesho/mashindano au mbio pengine mchezo ya pikipiki kwenye barabara za vumbi au sehemu maalumu iliyotengenezwa mafuta/vilima![]()
Sasa huu mchezo unaendesha pikipiki kwa spidi kubwa halafu ukifika kwenye kilima unarushwa juu pengine umbali wa futi 10 na hata 50 sasa hapo ukikosea mahesabu shauri yako
Pia mara nyingine pikipiki inapata hitilafu ya kiufund
Ilitokea ajali watu huumia vibaya na hata kufa
...........
Kweli kabisa! Nataka nimuhonge boti letu moja pale Forodhani ujiuji la Mali ya watoto

Hahaaaa yaaan napenda tom jerry balaaa Mdau hebu niwekee picha ya tukatuni tunatoitwa Rabid invasion na Teenage Mutant Ninja Turtle..
Haina noma ilimradi niwe na ww

:
........
Hahaaaa yaaan napenda tom jerry balaaa Mdau hebu niwekee picha ya tukatuni tunatoitwa Rabid invasion na Teenage Mutant Ninja Turtle..