Makapuku Forum

Huyu ni shiida
 
Huyo ni balaa
 
2/Box Jellyfish
Anatajwa kama samaki/mnyama mwenye sumu kali zaidi duniani.....mbaya zaidi ana life spam mkubwa na hafi kwa magonjwa
Ana sumu yenye uwezo wa kuua hadi watu 50
Akikugusa tu ndani ya sekunde/dakika kiduchu tu utaitwa marehemu kama hujachukua hatua
Hivyo kama unatumia smartphone ya water proof basi haraka bafilisha status na kundika RIP ili masela wajue ushapata janga
......
 
Si ndie Tiger fish huyu?
 
Yeah huyu ni Immortal kabisa niliona wakimchambua kwenye Chanel ya NatGeo wild ni nouma..
 
Akiwa kwenye maji anatoa uzi flani dizain mwembamba sana ukiugusa pia ni unakua kama umekatwa na wembe au kisu

Kuna wengine huwasha

Me ni mpenzi wa kuhudhuria beach sana, kuna swimming club moja hawa hua wanakuja na maji vile yakijaa bas wakiogolea wote utawaona wakitoka na kujikuna nahisi sumu zinatofautiana kama vilenyoka wapo ambao sumu zao zinaua within a glance of an eye!! Na kuna ambao unaweza kustahmili na tiba ukapata

Asante leo najifunza kutoka kwako

Madame S
 
Hatarii
 
Basi nimechanganya madesa hapo..
Eti huyo anakula mamba na viboko..

Huyu ndo tigerfish
Hawafanani kabisa hata kwa rangi
Piranha kama anavyofanana jina na akina Ronaldinho anapatikana Brazil
.......
 
Huyu ni "Box Jellyfish" inawrzekana wapo aina tofauti tofauti
Huyu sio wa kumchezea
.......
 
Babaa huyo unammezaje sasa kwa mfanoo sindo kifo chenyewe kama ulivyomwambia madam s ampige unyeke/roba tembo..
Yeah
Huishi milele....njia pekee ya kummaliza ni kwa kumuua au kummeza hata ukimjeruhi anajiponyesha na kurudi upya
Kamwe haugui
.......
 
...kwa kweli anko wangu umenifumbua macho, yaani nafurahia kuwa na wewe anko, umenifungua macho. Yaani naiona talaka inaniita kwa furaha.
Sasa nifanyeje anko, si unajua wewe ndo mshauri wangu mkuu ninayekutegemea
Ndo ujipangee ...ongea vizur na aunt yako
 
Baby I miss you

Linamo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…