Makapuku Forum

6/Great White Share
Namzunvumzia papa samaki sio Papa mkatoliki wala Papa Wemba au pengine papa utamu
Huyu ni mfalme kule baharini ....tatizo lake ni moja tu akisikia harufu ya damu hKuachi lazima akufanyizie
Silaha yake kuu ni meno yake nakali pamoja na kasi ya kuogelea
Ila hupenda kukaa kwenye kina kirefu hivyo endelea kwenda beach kujidai kama kawa
.....
 
Achana nae na kwa taarifa yake bhinamu ujio wa shedede na macbook jumlisha na ungenge bhasi husna namuona sumbawanga


...kwa kweli anko wangu umenifumbua macho, yaani nafurahia kuwa na wewe anko, umenifungua macho. Yaani naiona talaka inaniita kwa furaha.
Sasa nifanyeje anko, si unajua wewe ndo mshauri wangu mkuu ninayekutegemea
 
Kuna ukweli wowote juu ya Papa akiona viganja na unyayo hakuachi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…