...nitakuomba msamaha pale yeye akiniomba msamaha, umeona ananvyoniharibia sifa zangu njema kabisa! Yaani isingekuwa yeye sasa hivi mimi ningekuwa Askofu anayeukaribia ukadinali
Yaani nyie niseme tu ukweli, kiddoooooogo labda wewe huwa unapenda unione nina furaha moyoni ili anko wangu sasa, huyo hata robo hawezi kunitakia mema.
Wewe uko tofauti, tatizo nikiwajumlisha ndo nawaona lenu moja
Asante Bitoz kwa kubwa kulikoo ...tumejifunza mengii na kujua kipi ni kipi kati ya nile na Amazon....tukimsubiria binamu alewe kidogo ili atupandishie song ebu tupate kionjo ....