Sawa ni mda kidogo mbona sasa ulipomuona facebook ulimtumia request ....na unakumbuka alivokukubaliaa ulisema nini ???
Yaaan kama hujuii ukiniachia simu na kwenda kwa wapenzi wako wa kule cha kwanza naangaliaa sms
Nipo mmMungu azidi kukuweka Baba D wangu [emoji8]
NakuonaI'm here
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hivi mbona simu yangu haina hutu tuemoji? Nataka nimtumie mpenzi wangu
Si umaliziee Bitoz wa HusnaB wa H
Watoto wawili[emoji130]Ahahhaa ndio hayo majina
Kawaida misitu ndo husababisha mvua sasa huko utasikia Amazon rain forestMsitu Wa Amazon na mto Wa Amazon viko kwenye nchi 1?
Ndio ukweli huoWoyooo
Ni kwa ajili ya roho yangu T....
I stayed in truth,may god bless your relation ship,and give you all of your career ...[emoji120] [emoji120] [emoji120] be blessed.Nashukuru mpenzi, yaani ninavyokupenda hata siwezi kukuchanganya majina kama tabia ya anko wangu.
Mimi ni wewe tu kama mfalme wa Swaziland
Usukume jamaan Baba D kama namuona anatamani ata akuchokozeMoyo WA Sakayo msukume T
[emoji4] [emoji4] [emoji4]....yeah, ndo VIL yaani ndo president wengine wote ni residents
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Cc.shululu
Nani kashika simu yakeNdo na wewe shangaaa
Kweli mtu akitaka kitu hashindwii...utafikiri sio yule mpenda shangaa
Tatzo unasema ambayo hata hujaulizwaaa.......heh, ulimuona na yule mwalimu mwenzangu uliyeniambia nimpelee kile kitengee ulichomnunulia wakati wa kilele cha mbio za mwenge?
Nakuona jamaan Baba DNipo mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si umaliziee Bitoz wa Husna
Tuko pamoja shemelaYes shemela
Cc. mighty godNilitaka kujua ya kwako
Hawana majina mke mweeWatoto wawili[emoji130]