Makapuku Forum

Leo shululu kawa mwemaa kwakooo ....ila kumbuka ulichowaaidiii hawa wa kwa mama wawili
 
Hilo ndo huwa nakupendea aunt yangu, yaani unajua kabisa mapungufu yangu lakini unaniteteaga sana. Ikifika Ijumaa nidai hata mishkaki na maji makubwa ya Kilimanjaro au unapenda Uhai drinking wota?
Mke wangu ndo unamdanganya na mishikakiii kweliii..mmke ya pedeshee ??
 
Haaaaahaaaa, Asante obe kwa offer ya Heineken
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…