....si unamkumbuka yule mganga uliyenipeleka pale niliponyimwa mshahara ?
Huyo huyo yule ambaye ulitaka kumtorosha msaidizi wake kile kidada cheupe
Ila ulinisaidia sana, yaani dawa nikawa napewa bure, kananiita shemeji kumbe wewe anko wangu
Sipigani baba dAta ukinifumaniaa
Kumbe ni ya madudu!!!!Sitoweza hata kufanya hivyo manake kuipata ni sheeda pia..
Afu sijazoea hayo madudu..
Aisee binamu kweli
Kila mtu kwa wakati wake jamaan we chagua tu hata kama mie nimechagua
Sasa mambo ya 2013 yanaingiajee hapa .......si unamkumbuka yule mganga uliyenipeleka pale niliponyimwa mshahara ?
Huyo huyo yule ambaye ulitaka kumtorosha msaidizi wake kile kidada cheupe
Ila ulinisaidia sana, yaani dawa nikawa napewa bure, kananiita shemeji kumbe wewe anko wangu
SijuiUnajua maana ya hiyo emoji...
Kwan safari si umesema hatuendiii tena...oh, hivi Mimi ndo niliandika hayo, niliptiwa tu nashetani sasa kaniacha hapa nakunywa chai na croissant ndo nimejua kuwa wewe ni mshauri wangu mzuri nakutegemea sana.
Tukienda ile safari yetu itabidi tumkemee shetani
Binamu safari itakuwepo endapo utabadilika Mama ni mtu wa Mungu kabisa...oh, hivi Mimi ndo niliandika hayo, niliptiwa tu nashetani sasa kaniacha hapa nakunywa chai na croissant ndo nimejua kuwa wewe ni mshauri wangu mzuri nakutegemea sana.
Tukienda ile safari yetu itabidi tumkemee shetani
Nani wa shetan sasa kati ya binamu na husnaBinamu safari itakuwepo endapo utabadilika Mama ni mtu wa Mungu kabisa
Binamu Baba DNani wa shetan sasa kati ya binamu na husna
....si unamkumbuka yule mganga uliyenipeleka pale niliponyimwa mshahara ?
Huyo huyo yule ambaye ulitaka kumtorosha msaidizi wake kile kidada cheupe
Ila ulinisaidia sana, yaani dawa nikawa napewa bure, kananiita shemeji kumbe wewe anko wangu
HayaaaNdiooo
Sawa kiongoziUbingwa msimu ujao Man united wanabeba
Shemeji za jioniAsante bae kwa nukuu
...oh, hivi Mimi ndo niliandika hayo, niliptiwa tu nashetani sasa kaniacha hapa nakunywa chai na croissant ndo nimejua kuwa wewe ni mshauri wangu mzuri nakutegemea sana.
Tukienda ile safari yetu itabidi tumkemee shetani
Sasa mambo ya 2013 yanaingiajee hapa ...
Nakuona tu au nimwambie husna mpango wako kwakeee