Makapuku Forum

9/Congo River
Kama jina lake linavyosomeka unapatikana huko kwa wakongomani ila pia huitwa Mto Zaire
Ni mto wenye kina kirefu cha maji barani Afrika na kama kawaida kuna samaki bila kuwasahau mamba...una kina cha futi 720
Ni mto wenye urefu wa Km 4700
......
 
kuuuuumbeeee!!!!!!
 
Duuh

Hivi 4700 ni safari ya Songea kwenda Rorya na kurudi eeh?
 
Nazidi kujifunza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…