Makapuku Forum

Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa amepigwa picha kwenye Instagram akiwa amevaa jezi ya Atletico Marid na kuandika “mpe salaam zangu Conte”. (Mail)
 
Chelsea wanataka kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre Emerick-Aubameyang, 28, baada ya kumkosa Romelu Lukaku, 24. (Sky)
 
Chelsea wameonywa na Borussia Dortmund kuwa wana wiki moja tu ya kumsajili Pierre Emerick-Aubameyang. (The Sun
 
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger anadhani kuwa ataweza kumshawishi Alexis Sanchez, kutoondoka Emirates. (Mirror
 
Arsene Wenger amekata tama ya kumsajili Kylian Mbappe, 18, na badala yake sasa anaelekeza nguvu katika kumsajili Thomas Lemar, 21, kutoka Monaco. (Telegraph)
 
Arsenal pia wanafikiria kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata, kuziba nafasi ya Alexis Sanchez ikiwa ataondoka. (Don Balon)
 
Chelsea wapo tayari kumpa mkataba wa miaka mitano winga wa Atletico Madrid Yannick Carasco, 23. (Don Balon)
 
Babu alikuwa kauzu sana aisee
 
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho anataka Toni Kroos, 27, kuwa sehemu ya mkataba wowote utakaomhusisha David de Gea kwenda Real Madrid. (Sun)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…