Makapuku Forum

Leo katika Historia

Ni siku ya katiba huko Korea Kusini.

Katiba yao ilipatikana Julai 17 1948
Katiba yao ilianyiwa maryjebisha mwaka 1987 tuseme tu wanatumia katiba ya mwaka 1987
Nchi zilizoendelea katiba zinaheshimiwa na kila mtu na kuilinda na katiba ni ya wananchi wakati nchi za kiswahili imekuwa kama urembo na pambo la Taifa. marais ni km miungu watu
.....
 
NUKUU YA LEO


If you don't lose, you cannot enjoy the victories. So I have to accept both things.

Kama usipopoteza mchezo, hutoweza kusherekea ushindi,hivyo nimekubali vitu vyote.


Haya maneno yaliwahi kusemwa na Mcheza tenis wa kihispaniola Rafael Rafa Nadal Perera.

Rafael Nadal alizaliwa June 3 1986 katika mji wa manacor, Baleric island nchini Hispania.

Baba yake Rafael Nadal anafanya biashara za Bima na ana kampuni ya kutengezena Madirisha na Vyoo.

Mama mzazi wa Rafael Nadal ni mama wa nyumbani tuu..Rafael Nadal ana mdogo wake wa kike pia.

Rafael anashikilia nafasi ya pili kwa ubora duniani. Rafael aliingizwa kwenye mchezo wa tenis akiwa na miaka 3 na aliyekuwa mchezaji mstaafu Toni Nadal ambae ni mjomba wake na ndio kocha wake hadi sasa.

Rafael Nadal anashikilia recordi mbali mbali ikiwemo za michezo ya olympic, wimbledon, us opens, French open na australia open.

Rafael ni shabiki mkubwa wa Real madrid na Rc mallorca.


Sina la ziada katika Nukuu..

Imeletwa kwa udhamini wa


Cc mahondaw na @smart11
 
Asante kwa Nukuu ya leo
 
Asante mike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…