Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tangazo la Wadhamini:

Mapumziko haya yanaletwa kwenu kwa udhamini mnono wa shululu na Tumosa kwa ukaribu kabisa wa Shunie na anko lee empire , bila kuwasahau wadhamini Jimena na kagame, Transcend na Sakayo chini ya ufadhili wa husna muba na mimi.
Bila kuwasahau Nyagei na Linamo , demi na Mondray , mzeewakungoa na Clkey , Mndali ndanyelakakomu na Valentina , BlessedHope na werrason
NB: wadhamini wa para ya pili hawajamaliza kulipa pesa za udhamini

Binamu kwahiyo video ya rayc umekosa jamaan

Asante sana sana binamu kusikia tu nyimbo nimefurahi sanaaaa [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10] unajua vile nakupenda
 
Tangazo la Wadhamini:

Mapumziko haya yanaletwa kwenu kwa udhamini mnono wa shululu na Tumosa kwa ukaribu kabisa wa Shunie na anko lee empire , bila kuwasahau wadhamini Jimena na kagame, Transcend na Sakayo chini ya ufadhili wa husna muba na mimi.
Bila kuwasahau Nyagei na Linamo , demi na Mondray , mzeewakungoa na Clkey , Mndali ndanyelakakomu na Valentina , BlessedHope na werrason
NB: wadhamini wa para ya pili hawajamaliza kulipa pesa za udhamini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umetupelekaaa chaka binamu huu wimbo mbona video siyo yenyeweee.....

Kweliii wkend imekuwa tamu
 
Back
Top Bottom