Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Umeona eeeh cdhani kama safari ya kgamboni itendlea kuwepo na mahaba haya
Hakika sijui unaongea nini, ile safari ninamsindikiza mjomba wangu. Ukiwa huamini mimi wataniacha feri
Umeona eeeh cdhani kama safari ya kgamboni itendlea kuwepo na mahaba haya
Ahahah kweli ni kidogo tu nimeelewa mkwele mkewe safina ila mkwele hana hela kwahiyo safina anafanya usanii na mzee matata wa kuwapiga hela wanaume wanaomtongoza safinaMmmmmh
Sakayo amelala, ilibidi niwe kimyaShemela wangu mie mpaka kifo
Baba D nimeshasahau jamanNdo unitumie voice
Unaongea na jeny au jeniffer ??Na hayo machache umeweza kuyavumilia, wewe ni wangu kiukweli. Kila neno litokalo kinywani mwako linanifanya kipofu nisione mengine ila wewe tu
Shemela jamaan mbona hiviZilizoandikwa au
Yaani acha tuT kavuruga shemela![]()
Na hayo machache umeweza kuyavumilia, wewe ni wangu kiukweli. Kila neno litokalo kinywani mwako linanifanya kipofu nisione mengine ila wewe tu

Wewe unayokorogaa kunisaidiaa unakimbiaaa ....Dadaaaaadeki, unacheza na aunt yangu, ukimaliza kizungu utaongea kiebrania
Kigamboni kweli hakuendeki na mama mchuchu harudi kabisaHakika sijui unaongea nini, ile safari ninamsindikiza mjomba wangu. Ukiwa huamini mimi wataniacha feri
Hapana shemelaShemela ujue umemwaribu mkeo
Na kengezaa ataitaa .....Woiiiiiiii mapenzi ni upofu jamaan chongo utaita kengeza
Hongera sana shemelashemela una nini lakini ujue nashinda na biblia
AhahhahahNa kengezaa ataitaa .....
WowBinamu obe