Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kuna kitu kanywa sio bureMchungaji leo amekuja kivingine.
Aisee jambilo njoo huku bibi povu linamtoka.We mtoto umenikosea adabu!!!!!!! Nikuambie nashukuru kwa kila jambo. Naridhika, sitamani wala sioni husda kwa lolote. Nimeridhika na ndo maana napata time ya kukaa na wanangu na wajukuu na kaka na dada zangu kubadilisha mawazo. Fuatilia chart zangu sina mihemko mimi ni bibi niliyeridhika. Samahani sikupenda kusema haya yote ila nataka unielewe. I am a bit of a commedian I am also a writer so i like writing what I think is funny and which can make others laugh but I am not looking of company. I have already long time ago about 30 na more years ago. Jambilo niombe samahani sasa hivi.

Mkuu mimi ni PT najua hayo mambo.![]()
Kumbe madereva tupo wengi
........................
Na kwako pia mkuu.Usiku mwema wandugu
We acha tu karibu nimeze mfupa wa samaki kwa hasira. Silali mpaka nipate SorryyyyyyyyyyyAisee jambilo njoo huku bibi povu linamtoka.
Ukichelewa sekunde tu anaweza kuripuka kwa hasira.
Mimi natoka ndukii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
asante broNa kwako pia mkuu.
nite nite usisahau usafi kesho.Usiku mwema wandugu
ok asante kwa kunikumbushanite nite usisahau usafi kesho.
Pamoja.asante bro
Mama yangu, mimi huwa sielewi unachokuwa unakiandika.Nilikula videonge vya kutoingia sasa naona kuna stori za kutatiza sizikumbuki maana nina dementia unajua uzee na vyakula tunavyokula lakini nimesoma. Hamjambo? Kesho ni siku ya wavivukazi lakini wote mtakuwa vitandani. Je mtamkumbukaje mzee wa ukapa aliyetaka kuwapa siku ya kulipiza mkasema hapana sisi hatutaki. Watu bwana\/
Niajeee @jambilohi mizarb
Nataka iliyo mbichi.Mkuu EMMYGUY tunaomba jiandae.
Safari imeiva.
Kweli? Unapoandika kwenye hizi places inabidi uwe ambiguous ili msomaji atumie kichwa. Unakumbuka nilisema nimekuwa addicted na JF, hivyo nikasema natafuta dawa. Juzi nilitoa comment kuhusu watu waliokufa kigamboni, mtu alinitukana niakaona let me be out for a while ndo maana nikawa nimekosekana so that was my medicine. Literature inakufundisha kutumia picha au vitu kuficha kile unachotaka kusema. Ndo maana watu wa fasihi wengi hawaeleweki sababu ya tasishishi you hide behind the curtain.Mama yangu, mimi huwa sielewi unachokuwa unakiandika.
Nani kakwambia jambilo ni mtoto!We mtoto umenikosea adabu!!!!!!! Nikuambie nashukuru kwa kila jambo. Naridhika, sitamani wala sioni husda kwa lolote. Nimeridhika na ndo maana napata time ya kukaa na wanangu na wajukuu na kaka na dada zangu kubadilisha mawazo. Fuatilia chart zangu sina mihemko mimi ni bibi niliyeridhika. Samahani sikupenda kusema haya yote ila nataka unielewe. I am a bit of a commedian I am also a writer so i like writing what I think is funny and which can make others laugh but I am not looking of company. I have already long time ago about 30 na more years ago. Jambilo niombe samahani sasa hivi.