Makapuku Forum

Wapumzike kwa amani
 
Leo katika Historia

1969 - Wana Apollo wa Marekani ( Apollo 11 ) wazindua mpango wao wa kwenda Mwezini.
Ambapo Julai 20 Neil Armstrong na Buzz Aldrin wakaingia kwenye chombo na kuanza safari kuelekea mwezini

Sisi huku bado wakulima na wafugaji wanakatana mapanga kugombea ardhi hawana habari za kwenda mwezini wala Mars
Na ukiwaambia habari za mwezini wanafikiri ni habari za hedhi
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…