Tuwe na usiku mwema Makapuku wenzangu.
Nikutakie usiku mwema na nakuacha na Christian Bella
santeeeee unajua vile nakupenda sana
Sijakuelewa aisee![]()
![]()
![]()
hata mahali
Post sent using JamiiForums mobile app
Mimi sitaki uchochezi lakiniumefkilia nini lakini T
Ndio dadaKaka umeshafika jamaan
Ww ni Jaji mdau?Nishakaribia
Post sent using JamiiForums mobile app
Pole sana kaka angu na uchovuNdio dada
Ahahhhh unautaka ndio mana umeiletaMimi sitaki uchochezi lakini
Shukrani sana jimena...be blessed
Post sent using JamiiForums mobile app

AfandeeNilikumiss sana...be blessed
Post sent using JamiiForums mobile app
Asante dada nashukuru mungu nimefika salamaPole sana kaka angu na uchovu
Woyoooooo binamu kwenye ubora wako
Mbona kama unanionea haya mapenzi gani kila siku lazima nibembeleze
Ona kaneno mapenzi kaneno kafupi kana maneno mengi unayempenda akakuzingua si bora angesema mapema me kaniacha nimezama kutoka sasa nashindwa nashindwaaaa
Binamu obeeeee![]()
![]()
![]()
santeeeee unajua vile nakupenda sana
...huwezi kuthamini ulichonacho hadi ukipoteze. Ni suala la muda tu, msalimie mhenga mwenzangu

ni kweli binamu nakupenda ujue mhenga mwenzio hajambo sanaPotezea basiiiiiAhahhhh unautaka ndio mana umeileta
Haya acha nivungePotezea basiiiii
Ila mimi nikiona ile picha... najisikia kuchekaHaya acha nivunge
Jamaaan![]()
![]()
![]()
![]()
Sipendi ugomvi japooo na mm nilikuwa nalitumiaa
Mama mchungaji hajaamka ??...nazungumzia huyu mpya aliyepatwa na uchungaji juz

Bado haja amka.... Kwa nini wamwita hivyo
Kwani si kapatwa juziii![]()
![]()
![]()
Nataniaa lakinii
Nimeuliza tuuu... Na mie nimeshindwa kuelewa.... Alipotea halafu akarudi kivingine....
Lakini wakubwa tunaelewa magazijuto...
Hajapoteaaa![]()
![]()
![]()
Magazijuto changanya na kipeuo cha pili ...
Alikuwa wapiii kumbe... Maana Mmmmh...
Ndo napata jibu sahihi sasaa....
Blah blah blah blah werevaa naziona kwa Sakayo na T wake....
Hapana bwana alikuwa kigamboni kwa mama mchuchu anampa mikoba si unaona sasa hivi ....
![]()
![]()
![]()
blah blah si ulinambia hutaki kusikia
Mmmmh...
Mie huyooo... Haya bwana!!!! Wahenga tushaelewaa
Hakuna cha wahenga .....shunie wetu yupo kajaa teleee na furaha juuu Mungu atupe nini
Sema na mm mke mdogo kaniteka![]()
![]()
![]()