Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Ipi hiyo nzuri sana?Nzurii sana
Post sent using JamiiForums mobile app
Ipi hiyo nzuri sana?Nzurii sana
Mi mzimaKama ida baba humzima wewe??
Post sent using JamiiForums mobile app
Hongera shemelaWandugu mwenye uzoefu wa hizi laptop haina ya apple(macbook air au pro) anipe ushauri ipi ni nzuri nampango wa kununua laptop kutoka brand ya apple..?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mac book airIpi hiyo nzuri sana?
Post sent using JamiiForums mobile app
Nlkumic pia hbr ya chimboAsante shemela nilikumiss sana...
Post sent using JamiiForums mobile app
Niko poaaMambo vip??
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Kwema sana shemela...Nlkumic pia hbr ya chimbo
Amina shedy.... Mtumai Mungu kwa kila jambo... Hakika hatakuacha kamwe upungukiweHakika mungu yu mwema sana SAKAYO
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Amina sana SAKAYO,mmh SAKAYO umeijuaje real name langu??Amina shedy.... Mtumai Mungu kwa kila jambo... Hakika hatakuacha kamwe upungukiwe
Huwa sikoseagi shedy... Be blessed!!!!Amina sana SAKAYO,mmh SAKAYO umeijuaje real name langu??
Post sent using JamiiForums mobile app
Karibu mtwaleHabar ndugu/makapuku wenzangu
Post sent using JamiiForums mobile app
NishakaribiaKaribu mtwale
Salama,karibuHabar ndugu/makapuku wenzangu
Post sent using JamiiForums mobile app
Hata mil sawa ila ndio hatuna hizo helaIla DSTV wana chanel nzuri sana na vipindi bora kabisa, huwezi kujutia kulipia hata 100,000 kwa mwezi

Shaka ondoaaNishakaribia
Post sent using JamiiForums mobile app
ShededeMambo dada SAKAYO?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Jumamosi Fleva: Jipende Mwenyewe
Ni Jumamosi nyingine tunakutana kwenye muziki na kama kawaida maneno machache muziki unatawala. Hapa KF leo ni muziki wa kileo zaidi na si ule muziki wa wahenga. Ila ujue nini, hata hawa vijana wa leo wanaoniita muhenga jioni hii asubuhi ikifika nao wataitwa wahenga. Maisha ni mzunguko.
Jipende mwenyewe maana ni wewe mwenyewe ndo unajijua, wengine hutoa complimentary tu ila ikifikia kujipenda, jipende mwenyewe kwanza na mengine yatakuja tu. Sisemi kupenda au kupendwa sio muhimu, namaanisha ukijipenda mwenyewe na mwingine atakupenda, usipojikubali hakuna atakayekukubali.
Asante kwa Shunie aunt yangu wewe kwa kuchukua nafasi ya kutupatia sala na maneno ya hekima, unafanya vizuri sana na ninakupenda kama unavyopendwa na wengi. Unalijua hilo, tabasamu maana ndivyo unavyonifanya nitabasamu. Asante sana.
Tuburudike sasa na kwa usiku huu tumwangalie Justin Bieber- Love Yourself (nimesikiza dirty version yake huihitaji hapa) akiperfom live huko Manchester kwenye Tamasha la One maalum kuchangia shirika la Msalaba Mwekundu.