Tulikuwa tunakesha kila New Year pale Mabibo kwa
Bibi Cheche na Kigogo au Manzese ila siku hizi imekuwa marufuku
What a stupidity ? maisha magumu halafu tusio na uwezo wa kwenda Night Club hawataki tuburudike kitaa
Hata kujinywea viroba imekuwa mwiko na mchana huruhusiwi kunywa pombe
Bangi nayo imefanywa dawa ya kulevya
WTF
......