radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Tupo mkuu, karibu mwana mpotevu
asante mkuu majukumu makali
Tupo mkuu, karibu mwana mpotevu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitaitika ngoja nimalize kufurahi kwanza
Karibu JagoodAsante shululu
Tupo aiseemzur shululu naona mpo aisee
Mpendwa wa Obe umeamkaje[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Niko poaNzuri, za kwako
Asante kwa dondoo za kutoka kwenye kurasa za mbele na za mwisho za magazeti yetu ya leo
Katua tayari ile ilikuwa fake news kwamba eti kafeli vipimoNzuri mr Chelsea
Vipi niliyoyaona kwa Bakayoko ni kweli?
Wauza ngadaKwa watukutu
Asante Mndali kwa utafiti hewaWakuu mmeakaje
UTAFITI HEWA
Kila siku huwa ni mpya jitahidi kuwa mpya kila siku
Morning sweetie[emoji8]Asante Mndali kwa utafiti hewa
NiniNimejifunzaa
Shukrani sana ankali kwa magazetiView attachment 542441Kwa udhamini mnono wa demi
Nawatakieni asubuhi njema makapuku wote
Hapo sasaNi kweli kila siku ni mpya mndali ila mambo ni yale yale
Wahenga walisema hakuna jambo jipya duniani
Morning QuigleyMorning family
Hii adha ya TRA imenikumba