Ndio... Nataka nimpe Asante kwa kuniletea kidumeEeeh bana eeh@
Nikuletee mma dada au redbullKho Kho Kho Kho Kho Kho
AiseeeeNdio jamaan clouds tv kipindi kinaitwa hivyo
JamaniiiiSanaaaa
Nipogooo jana na leoUpooo
Ewaaaa...Ninarudi tena yaani ninakuja kushinda anavyorudi sister P, ujio wangu ni kuwaunga mkono na mguu bila kupewa upaja na wote wanaenda kwenye maombi ya Ijumaa, haijarishi wanafanyia maombi wapi, iwe bar au kanisani au msikitini ilmradi wanatimiza ibaada zao wote tuwaunge mkono.
Ombi la Shunie aunt yangu huyu na Sakayo (huyu kama sio mhenga basi mimi nitajitoa kwenye uhenga- yaani anaijua hata ile nyimbo ya Paka kulia usiku)😀
Christina Shusho wa kwanza, huyu uzao wangu ningekuwa mwanakwaya kwenye kwaya yake
Na huyu ni mwinjilist Munishi, naamini nimesikiliza album zake karibu zote.
Redbull nataka niwe na mzukaaaNikuletee mma dada au redbull
Kwenye dstv dada clouds pia si mnayo au huangaliagi kabisaAiseeee
WoyooooooRedbull nataka niwe na mzukaaa
Naona ni Bampa to Bamperaa!Ninarudi tena yaani ninakuja kushinda anavyorudi sister P, ujio wangu ni kuwaunga mkono na mguu bila kupewa upaja na wote wanaenda kwenye maombi ya Ijumaa, haijarishi wanafanyia maombi wapi, iwe bar au kanisani au msikitini ilmradi wanatimiza ibaada zao wote tuwaunge mkono.
Ombi la Shunie aunt yangu huyu na Sakayo (huyu kama sio mhenga basi mimi nitajitoa kwenye uhenga- yaani anaijua hata ile nyimbo ya Paka kulia usiku)😀
Christina Shusho wa kwanza, huyu uzao wangu ningekuwa mwanakwaya kwenye kwaya yake
Na huyu ni mwinjilist Munishi, naamini nimesikiliza album zake karibu zote.
Kila kitu kwako napendaNinarudi tena yaani ninakuja kushinda anavyorudi sister P, ujio wangu ni kuwaunga mkono na mguu bila kupewa upaja na wote wanaenda kwenye maombi ya Ijumaa, haijarishi wanafanyia maombi wapi, iwe bar au kanisani au msikitini ilmradi wanatimiza ibaada zao wote tuwaunge mkono.
Ombi la Shunie aunt yangu huyu na Sakayo (huyu kama sio mhenga basi mimi nitajitoa kwenye uhenga- yaani anaijua hata ile nyimbo ya Paka kulia usiku)😀
Christina Shusho wa kwanza, huyu uzao wangu ningekuwa mwanakwaya kwenye kwaya yake
Na huyu ni mwinjilist Munishi, naamini nimesikiliza album zake karibu zote.
Naona ni Bampa to Bamperaa!
Shukranimdau1 The Beatles
Ndo waasisi wa neno Bitozi ukipenda Tozy
Ni vijana watanashati wa zama zile hivyo kutokana na mvuto wao vijana wakawaiga na hapo sasa kila mtu akawa Bitozi
Walitamba vilivyo enzi zao na vibao kama Hey Jude ila mimi nasema Hey Husna
Nyimbo nyingine ni Don't Let Me Down na Yesterday
Walitoa albamu matata ambayo inashikilia rekodi ya mauzo hadi leo
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie week end njema
Tukutane Jumatatu
...........
Umemuona Manga humu kapuku eehNipogooo jana na leo
Kila kitu kwako napenda
Napenda nikiona ukiniinua, napenda kuona ukinibariki, napenda kuona ukiniponyahaleluyaa
Binamu yangu asante sana ubarikiwe sana
Nimependa hapo kwa sakayo tukama sio muhenga utaandamana
Siwaelewagi mieeeehKwenye dstv dada clouds pia si mnayo au huangaliagi kabisa