Makapuku Forum

1 The Beatles
Ndo waasisi wa neno Bitozi ukipenda Tozy
Ni vijana watanashati wa zama zile hivyo kutokana na mvuto wao vijana wakawaiga na hapo sasa kila mtu akawa Bitozi
Walitamba vilivyo enzi zao na vibao kama Hey Jude ila mimi nasema Hey Husna
Nyimbo nyingine ni Don't Let Me Down na Yesterday
Walitoa albamu matata ambayo inashikilia rekodi ya mauzo hadi leo
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie week end njema
Tukutane Jumatatu
...........
 
Woiiiii husna upooo mpendwa wa binamu
Asante sana Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…