Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Ameni ubarikiwe1WATHESALONIKE 5
17.Ombeni bila kukoma
Tunakumbushwa kuomba.
Tusiache kuomba.
Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.
Kuna nguvu katika maombi.
Omba mpaka unachokiombea kitokee wala usikate tamaa.
Hahahahaha usijali mkuu tupo pamojaNimeipenda hoja yako ila kumbuka UTAFITI HEWA unafanyika bila majibu yaliyo kamilika
Nikimalizia utafiti wangu nadhani nitauita utafiti ulio kamilika huu ni hewa
Marakhabaaa...!! ujambo mndaliChikamoo dingi
Mi ndo nimeanza kutekelezaTangu lini tukatekeleza tunayoyasemaa??
Asante mkuuHahahahaha usijali mkuu tupo pamoja
Mimi chijambo kabisa dingi ila naomba unisaidie mia nikanyoe nyweleMarakhabaaa...!! ujambo mndali
Kumbe Mimi na wewe tumezaliwa siku moja!!!Hahahahaha usijali mkuu tupo pamoja
Hahhaa sasa bwana mdogo mia unanyoa nywele gan?Mimi chijambo kabisa dingi ila naomba unisaidie mia nikanyoe nywele
Tarehe 8 AprilKumbe Mimi na wewe tumezaliwa siku moja!!!
Shukrani mdauDown syndrome nayo ni miongoni mwa genetic disorder ambayo inshort ni ya kurithi. ..hii ni mojawapo ambayo wengi wanaiterm kana Abnormality kwa binadamu hii ni kwa sababu kama tunavojua chromosome ndo carrier wa genetic materials na zipo za aina nyingi chromosome ambazo zimepewa namba na kila moja ina umuhimu wako ...kwenye kupitia kwangu nilipitia mpaka chromosome ya 44 ...
Ila chromosome ambayo inasababisha hii hali ni chromosome namba 21 ...na hii inatokea endapo kunatokea exta additional of genes kwenye hii chromosome ...hali inayosababisha kuongezeka kwa characteristics za ziada kwenye mwili wa binadamu
Hawa watu ni rahisi kuwagundua ...japo wengine kiukweli mwanzoni maisha yao yalikuwa mafupi ila kutokana na technology hasa upande wa genetic siku hizi wanaishi kwa miaka mingi kidogo...
Hawa watu sifa mojawapo ni kuwa na uwezo mdogo wa kung'amua vitu ila sio mburula japo wengine wanawaterm kama intellectual disability/cognitive delay n.k...
Hapa mtoto akiwa na hali hii kuongea inawachukua mda sana ...wengine tunakimbilia kwa waganga tukidhani wamelogwaa...
Ila na uso kimwonekano unakuwa tofauti na binadamu wa kawaida
Aaah dingi we fanya kunipa tu ndo utajua inatosha au haitoshi kwani we unataka kunipa kiasi gani dingiHahhaa sasa bwana mdogo mia unanyoa nywele gan?
Tarehe 8 April
Team April
Team Aries
Team Winner
Sijui niendelee
Nimefurahi kujua hivyo pacha
chochote kile kinacho tosha kunyoaAaah dingi we fanya kunipa tu ndo utajua inatosha au haitoshi kwani we unataka kunipa kiasi gani dingi
Keshokutwa itakuwa yanguLeo ni birthday yangu
sent from posta
Mi mia inanitoshachochote kile kinacho tosha kunyoa
Kwema huko lakinMi mia inanitosha
Huku kwema mkuu habr ya mpambano na maishaKwema huko lakin
Nzur tunashukuru Mungu tumefika mwez wa saba mjini, vp huko mishe zinaendajeHuku kwema mkuu habr ya mpambano na maisha