Makapuku Forum

Morning wapenzi
jamaan
Kuna vitu vinasikitisha sana humu yaan sana wote humu ni watu wazima ukiona mtu hupendezwi na mwenzako kaa kimya muignore tu jamaan utapungukiwa na nini niliingia jana usiku nikaona na nikapita kimya naona leo vinaendelea

Daa ila me nina roho ya peke yangu jamaan hata unipige fumbo hapo nakupotezea tu kama sijaona

Muwe na siku njema
 
Umenena vyema ....
 
Humu Kpk forum?
 
potezea tu, mshikaji wangu.. ujanja ndio uo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…