Leo katika Historia
1956 - Michael Spinks bondia wa ngumi toka nchini Marekani anazaliwa.Inasemekana mkono wake wa kushoto ulikuwa na nguvu ya hatari.
Hahahaa...The River Between,Betrayal In The City,Chike And The River,I'll Mary When I Want .....Kwa waliosoma sayansi A level fasihi imewapita kushoto japo mimi sikusoma HGL,HKL wala HGK Ila vitabu nilisoma Kwa kuiba kwa washikaji pia Library
...
OT forever..G G M U
Tulikuwa tunamuita spinks mkono wa chuma
Kashinda mapambano 31
Kadunda watu Kwa KO X 21
Kadundwa X 1
........
Nakumbuka sana mdauTulikuwa tunamuita spinks mkono wa chuma
Sio mchezo, mkono wa chumaNakumbuka sana mdau
Hata picha hapo zinaonesha jinsi jamaa mkono wake wa kushoto ni balaa tupu
.....
Leo katika Historia
1979 - Craig Bellamy mchezaji wa mpira wa zamani wa Liverpool, Man City na Wales anazaliwa.
Alisifika sana kwa ukorofi enzi anacheza mpira.
Mie mzimaSisi tunamshukuru mungu... Sijui wewe
AmeeenKweli kabisa
Nzuri mamyTumeAmka salama kabisa, habari ya asubuhi?
Sikuliona labda nikienda tena ila wale watu mungu awape akili nyingine sio ile waliyo nayo saiziEti kaka usambaani kuna bomba la maji moto
SawaHahaha
Mie simoo
Umeamkaje sakayoAmeeen
Asante mkuuNUKUU YA LEO
i just want to say a massive thank you to everybody at manchester united,thank you to the board over years, the managers and coache's i hav played under,the staff i hav worked with, the team mates i hav played alongside,and finaly the amazing fans that i hav been lucky to play for . Thank for the memoris
Nitoe shukrani zangu nyingi kwa kila mmoja klabuni Manchester United, wakurugenzi wa bodi kwa miaka niliyokuwa hapa, mameneja na makocha niliofanya nao kazi, stafu niliofanyana nao kazi, wachezaji wenzangu niliocheza nao, na mwisho mashabiki ambao nimebahatika kucheza kwenye klabu yao. Asanteni kwa ukumbusho huu
Haye maneno yametamkwa na mwanasoka wa kiingereza na kipenzi cha klabu ya man united na everton za uingereza Bw. Wayne Mark Rooney .
Rooney alizaliwa October 24 1985 katika jiji la liverpool nchini uingereza.
Rooney amecheza michezo 77 akiwa na everton na kufunga magoli 17 tuu, amecheza mechi 559 na kufunga magoli 253 akiwa na man united.
Rooney anashikilia rekodi ya ufungaji wa magoli mengi zaidi klabuni MUFC na Time ya Taifa.
Leo atakuwa anacheza mechi ya 78 na timu ya Everton dhidi ya Gor mahia ya kenya, baada ya kurudi katika Club yake ya zamani ya Everton.
Leo Baba kai au (R10) au Wazza atakuwa Taifa pale..
Kwa hisani ya Bitoz, shunie, mossolin5, Nyagei na Transcend.
Team OT..
Advance nili-divert mkuu..!Baadhi ni Advance
.....
Moyo wangu umeshtuka paaaah!Mie mzima
August kuna pambano matata..Tulikuwa tunamuita spinks mkono wa chuma
HahahaSikuliona labda nikienda tena ila wale watu mungu awape akili nyingine sio ile waliyo nayo saizi