Makapuku Forum

Si alinifuata nikamchenjie, nilipoziona zimeandikwa amajambele amafuranga ikumi nikajua tayari mtu kaliwa kwa furahabubu.
Anakumind sana hadi leo
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Akinibamba siku moja sijui nachomokajeee ...ila ile njia yako mbadala ntaitumiaa ....suprise kwanza mengine baadaee.....


Dola hapatiii
 
Aisee
 
Mmmmh[emoji41]
 
[emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
1/South Africa
List ingeishaje bila Mzulu kuwepo ?
Kwa % ya maambukizi ya VVU duniani anazidiwa na Swaziland na Lesotho pekee ila kwa idadi ya waathirika hakunaga kama Sauzi
Wasauzi wapo takribani 55,000,000 kwa idadi ya watu
Huku watu 5,600,000 wakiwa na ngoma yaani tusemetu 10%
Sasa wewe nenda na kiherehere chako kadate na Mzulu ......utajiju !!!
.
.
.
.
.
.
Baadaye kidogo wadau
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
 
Asante
 
Na mlikoelekeaa Mungu aliwaonaaaa.....


Mimi nikaambulia mbu ...ila mja hatupwiiii ndo nikapata yuleee[emoji4] [emoji4] [emoji4] ilikuumaa


...lazima iniume, unajua nini kiliendelea kule, tumekula na tumekunywa basi si ndo story za siku zikaanza, jamaani yaani kweli ni siku yake ikaanza baada ya kuwa amekula.
 
...lazima iniume, unajua nini kiliendelea kule, tumekula na tumekunywa basi si ndo story za siku zikaanza, jamaani yaani kweli ni siku yake ikaanza baada ya kuwa amekula.
Hicho kipengele huwa sikipendiiii cha siku kuanza ghafla wakati inajulikana siku uanza mapema alfajirii ...

Ila navokujua ulibisha kama siku imeanza au imeishaa
 
Kumbe hali ni mbaya hivi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…