Makapuku Forum

Makapuku Forum

Acha tu
Njoo Mabibo unisaidie kufuga bata
998096d3ad3b62d3cb175b383083758f.jpg

Au unaonaje ?

......
kama kuna malipo nakuja kaka haina shida.
 
Pole saaana
Usijali Mungu ni muaminifu utafanikiwa.... Usikate tamaa kabisaa, jitume, sali na mwamini Mungu pekee... Binadamu watadhihaki, watakucheka na kukukejeli lakini Mungu kamwe hatokuacha uaibike kamwe...
Sidhani km yupo serious
Anatuchezea tu akili ndo maana tumemjibu kimizaha
Mwanachuo hawezi andika vile
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom