Makapuku Forum

Nautafuta uso wa Bwana..mtafuteni Bwana maadam anapatikani,mwiteni maana yu karibu
Mkuu nakukubali sana ila kuutafuta uso wa bwana pekee haitoshi soma mstari huu:“ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao” (2Nyak:7:14)
 
Mkuu unakosea, hapa kwa neno ndio kwenye japo neno la kusimamia ni tofauti na hilo..niko zab 51 yote
 
Tatizo lako sjui ni ushamba!
Ukiona nataniana na watu wewe una mind!
Hapana Mtumish wewe ukiwa kama mtumish mwenye heshima kubwa na kundi kubwa unalo liongoza haipaswi uwe na utani wa kuwatega haswa hawa dada zetu..Kwan tumeshaambia ni viumbe dhaifu sasa wewe unafanya utani wa kuwatia majaribun..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…