Na hata waige hawataweza kuhamisha ubunifu/ujuzi/akili /maarifa za vichwani mwetu .Mkuu..
Huku kuna:
1.Magazeti
2. Nukuu ya leo
3. Story
4.Top Ten
5. Did you know
6. Unbelievable Facts
7. Today in History/ Historia
8. Sports Headlines
9. Tz headlines
10. Live score-ila hii kwa sasa iko likizo..itanza week hii baada ya preseason match kuanza.
11. Kuna Generalised story! Watu wanapiga story na kujuliana hali..
This is Kapuku Forum..
HatariusAiseee...
Kama umelitambua hilo vizuri mondrayKweli dada nimeona, This is f*ck love as Hell
Nomaaaaa! Naona lee anakusifia sanaHatarius
Aisee pole sana kwahiyo umeshapata matibabu
SawaMjukuu wangu
Mzima lakiniMjukuu wangu
Usipuuze jitahidi ujeYap ila nataka nije Dar kidogo kwa matibabu zaid..
Mambo Jimena.Mmmmmh!!!!
Sasa wewe unaachia ngazi kiulaini namna.. Kazana mtoto wa kiume.Sawa bwana nishakuelewa, mambo ya bado mdoho yanatoka wap?
You Ever see me?
Mkuu F habari yakoNakuona Mwanawane, full makamuzi.
Niko kwa kina Bitoz huku..Nakuona Mwanawane, full makamuzi.
Kama hapendwi akazane nini usimdanganye mwenzio penda unapopendwa mwisho wa siku utafanyiwa vituko mpaka ujuteSasa wewe unaachia ngazi kiulaini namna.. Kazana mtoto wa kiume.
Cha ajabu wanakuja kuja huku kujambisha ni dalili kwamba hawana malengo wala kujua wafanyalo
Natamani wapate views 1000k per day ile waridhike..
Sisi hivyo vitu tuachane navyo. We have our life..
Nahisi wale jamaa hawana kazi za kufanya.
Anakata tamaa mapemaSasa wewe unaachia ngazi kiulaini namna.. Kazana mtoto wa kiume.
Umbea sio kuona... Umbeya ni kuhadithia mambo.... Lakini namtania tu swahiba wangu huyo.Hajakosea lakini mzeewakungoa tupo jukwaani bora ingekuwa labda ni huko pm
Poa. Mambo vp?Ma
Mambo Jimena.
Mi nipo swaaf km unavyoona post zangu zimekaa kicheshicheshi tu it means nipo OK
.....
Mbaramo wakuteiaKukosa mbwai huko mbaramo