Angekuwa Afrika angeitwa mchawi na kiandamwa kama Bibi Paka
Maana sio kwa ufugaji huo wa idadi kubwa ya mbwa au paka bora wangekuwa mbuzi.....ila kwa wenzetu ni chakula
.......
Ungekuja kiustaarabu kuuliza sawa lakini umeingia tu kwa lawama huo sio ustaarabu barafuyamoto sisi wenyewe tunajua tunachofanya mgeni hawezi elewa hata siku moja tena kwa siku moja
Kwa uandishi wa hili gazeti inabidi uwe na spea za ziada za mbavu
Linaipamba serikali kupitiliza
Bora hata kusoma hadithi za sungura na fisi kuliko hii takataka
......