seriously, niliyaona kwenye simu yangu kabisa lakini nikirefresh hayajaonekana, yaani nimeyapost hapa yalikuwa maua haya, sita.
Simu yangu ina tatizo nimeamini sasa
Sent from NOKIJA 3310G using Jamiiforum app 2017
Nawe pia ankaliNilipita kuwasalimu tu.... Usiku mwema kwenu wote
Love you all
Mi naandika tu mwenyewe wala sikuwa miongoni mwa waliopata hilo tatizoaisee nimeshatoa mie ikirudi tena basi jamaan mnisamehe nahisi app ya jf kuna tatizo
Na yy acvae shati la kung'aa kama yangeyangetutamnunulia brazillian hair asitutie aibu kigamboni safari ipooooooo
Asante ObeMuziki: Good to See You
Nakusalimia Kapuku mheshimika, unajua kabisa salamu katika kipengele hiki ni muhimu. Yaani salamu ni muhimu hata kile kidole pendwa ambacho natumia kutaipu kinajua nini cha kufanya katika para ya kwanza. naamini umekuwa na siku nzuri na muda huu wa usiku umejituliza kutafakari nini ufanikishe kesho. Hongera na ni jambo zuri kukuona hapa.
Kuonesha fuuraha huwa sishindwi na lazima niseme kuwa karibu sana Shunie , Mndali ndanyelakakomu na shedede , nyie watu tuliwamiss hapa na zaidi aunt yangu ambaye tuna mipango mkakati wa maana sana, mkakati wa kujamiiana (soscialize) tukiwa na safari ya maisha yangu kule Kigamboni.
Muziki sasa, kwanza Bobi Wine mwanamuziki wa kule Uganda kashinda Ubunge na ni furaha sana jijini Kampala, alikuwa ni mgombea huru na bungeni kakaa na wapinzani. Sasa hapa kwetu mwaka 2005 Twanga Pepeta, magwiji hawa wa dansi chini ya Le generali na rapa mkali Diof walinogesha mwaka kwa album yao Safari.
kwa niaba ya Shunie tafadhari burudika na wimbo huu.
Mambo dia?
itakuwa anko wako alikufanyia fitina
Jamani huyu kaka ana Dada wanampenda hatariJimena mamy kaka angu anakuulizia kapita mda huu
Karibu ucpotee namna hyo unatupa wacwacWakuu habari za siku??..,nawapenda sana mishe mishe zanifanya niwe bize, na nisiingie kabisa jukwaani.
♡Cc.mndali-salamu zako nimezipata kakaangu tuko pamoja mno..
♡Cc.shunie-nimekumisi sana lee mzima??
♡Cc.shululu-nimekumissi afande mwenzangu vip shemeji yangu mzima??
♤Cc.lee empire-nimekumis sana blaza vip porini kwema??
♡Cc.bitoz-nimemisi story zako kaka
♡Cc.shimba ya buyense-nimemisi utani wako mkuu tuko pamoja.
♡cc.husna muba-japo kuachwa ni kubaya,hila ukikuzoea ni kuzuri sana, bado nakupenda ukiona vip nirudie, DOOR IS OPEN FOR YOU.
Pia nimewamisi wote hata ambao sijawataja list ni kubwa
-sakayo
-nyagei
-transcend
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Sheeemeeelaaa za siikuu, nitapitaa kuwasalimiiiaaaisee nimeshatoa mie ikirudi tena basi jamaan mnisamehe nahisi app ya jf kuna tatizo
My swiMwache atafika tuu
Asante binamu umenikumbusha marry.....marry wakee 😕 😕 😕Muziki: Good to See You
Nakusalimia Kapuku mheshimika, unajua kabisa salamu katika kipengele hiki ni muhimu. Yaani salamu ni muhimu hata kile kidole pendwa ambacho natumia kutaipu kinajua nini cha kufanya katika para ya kwanza. naamini umekuwa na siku nzuri na muda huu wa usiku umejituliza kutafakari nini ufanikishe kesho. Hongera na ni jambo zuri kukuona hapa.
Kuonesha fuuraha huwa sishindwi na lazima niseme kuwa karibu sana Shunie , Mndali ndanyelakakomu na shedede , nyie watu tuliwamiss hapa na zaidi aunt yangu ambaye tuna mipango mkakati wa maana sana, mkakati wa kujamiiana (soscialize) tukiwa na safari ya maisha yangu kule Kigamboni.
Muziki sasa, kwanza Bobi Wine mwanamuziki wa kule Uganda kashinda Ubunge na ni furaha sana jijini Kampala, alikuwa ni mgombea huru na bungeni kakaa na wapinzani. Sasa hapa kwetu mwaka 2005 Twanga Pepeta, magwiji hawa wa dansi chini ya Le generali na rapa mkali Diof walinogesha mwaka kwa album yao Safari.
kwa niaba ya Shunie tafadhari burudika na wimbo huu.
UmenasaNawapenda sana kapuku jamaanhalaf kuna mambo siyaelewi ebu ngoja niende setting mbona kwangu ilikuwa none hii mpya mambo ya signature tena
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nimwqmbiejeee sasaSubiri na email anakutumia, siku hizi ana email ndo utajua sasa kuwa ulipobipu wako kijidatari zaidi
Na kwako piaaNilipita kuwasalimu tu.... Usiku mwema kwenu wote
Love you all
Fitina wapi ...mimi nilitaka kumfundisha akadai Fatuma atamfundishaaitakuwa anko wako alikufanyia fitina
Baba watoto hbr ya muda huu pole na kazi na karibu nyumbaniNawe pia ankali
Lakini si simu mjomba etiii jombaa...binamuNakuunga mkono kwa hili, saa nyingien huwa nawaza huyu anko nilimkosea nini jamani, kumuomba zawadi ya simu tu, ukweli alinipa. Ila sasa simu haina maua, haina chip, yaani haina vingi tu.