BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ameen MamaAYUBU 22
21.Mjue sana MUNGU ,Ili uwe na amani;Ndivyo mema yatakavyokujia.
MUNGU AWABARIKI JIONI NJEMA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Yaan inabidi niwe karibu na uzi jamaan
Karibu Shunie,nakupenda mwanangu ,najivunia kuwa na binti mrembo machoni na rohoni kama wewe Mungu akutunze,akutetee,akupe maisha marefu ya Amani na kumpendeza Mungu maana MUNGU ANAKUPENDA SANA... akupe haja ya Moyo wako.....UBARIKIWEShikamoo mama yangu kipenzi jamaanMungu azidi kukuweka mama mchuchu sana siwezi ongea sana sitamaliza nakupenda sana na uzidi kubarikiwa kila siku iitwayo leo
UbarikiweAmeen Mama
Ameen MamaKaribu Shunie,nakupenda mwanangu ,najivunia kuwa na binti mrembo machoni na rohoni kama wewe Mungu akutunze,akutetee,akupe maisha marefu ya Amani na kumpendeza Mungu maana MUNGU ANAKUPENDA SANA... akupe haja ya Moyo wako.....UBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
UmeonaeeYaan inabidi niwe karibu na uzi jamaan
Tunakupenda pia mke mweeee nlikumicjeeeNawapenda sana kapuku jamaanhalaf kuna mambo siyaelewi ebu ngoja niende setting mbona kwangu ilikuwa none hii mpya mambo ya signature tena
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Asante mamyAYUBU 22
21.Mjue sana MUNGU ,Ili uwe na amani;Ndivyo mema yatakavyokujia.
MUNGU AWABARIKI JIONI NJEMA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Aisee haya mambo toka lini tena hii ni adhabu jamaanUmeonaee
Nafanya kuotea
Karibu mjengoniAhahahah haya mambo ni mapya kwangu
Mie zaidi mke mwee sana jamaan nimerudi tupo pamoja mke mweeTunakupenda pia mke mweeee nlikumicjeee
Asante sana Bitoz1/Hannah Kersey
Huyu nama wa miaka 23 alifanikiwa kujifungua triplets yaani watoto watatu akiwa na miji miwili ya uzazi na kuweka rekodi
Yaani tuseme ana vizazi viwili (uterus) na hali hii inajulikana kama Uterine Didelphys na humtokea mwanamke mmoja kati ya 1,000
.
.
.
.
.
.
.
Wadau tukutane baadaye kidogo
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
Mida hii ya jioni tuuAisee haya mambo toka lini tena hii ni adhabu jamaan
Asante sana ubarikiwe kwa 10 bora leo1/Hannah Kersey
Huyu nama wa miaka 23 alifanikiwa kujifungua triplets yaani watoto watatu akiwa na miji miwili ya uzazi na kuweka rekodi
Yaani tuseme ana vizazi viwili (uterus) na hali hii inajulikana kama Uterine Didelphys na humtokea mwanamke mmoja kati ya 1,000
.
.
.
.
.
.
.
Wadau tukutane baadaye kidogo
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
Huwa natamani kweeeli hao triple jamani.... Mara moja tuuu baaasi1/Hannah Kersey