Ewaaaaaaaah ....3/Doubledick Dude
Jamaa alizaliwa na uume miwili na kuamua kujiita Doubledick Dude na kupata umaarufu mkubwa na furushi la followers kwenye mitandao ya kijamii
Sio tu kwamba anazo mbili bali pia zote zinapiga mzigo wa maana hivyo anaweza kuzitumia zote kwa pamoja demu ukizubaa shauri yako anatumbukiza mbili !!!
Kila mzigo wake ukichachamaa unafika inchi 7
Hali hii inajulikana kama Diphallia na dunia nzima kuna case takribani 100
......
Nishachagua mie dadaChagua basi jamani...
LEO skipKaribu mkuu
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Shunie anaomba wimbo wa ukaribisho
Mambo Obe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo vipiii ya kuoneshana simu yangu smg ak 47 au tekno werevaEwaaaa
Mbona hiyo simu yako ina jina ka bunduki
Hupungukiwi kitu ndio nilivyo sasa hivi jaman hata ukipita unitukane matusi yote na vijembe juu na like nakupaMwanzo wakari najiunga JF sikujua kwamba wakorofi wamejaa
Hivyo mizingiano ikawa kibao
Nowadays sihangahiki nao
Mtu anitusi,nikebehi,fanya hiki na kile naignore tu
Nitapungukiwa nini?
......
Ungezipiga hizi wekend ingelinogaaa ...make hapa nilipo nakosa fursa ya kutema cheche ...Ninayoandika hapa ni ambayo napendakuhifunza/kujisomea mtandaoni
Ila huwa nakuwa nayo mengi ila nachaguaga vile binavyoeleweka au vitakavyovutia watu
. .......
woiiiiiiiiii [emoji2] [emoji2]Ngoja mume wngu anipeleke na mm nikale ugali
KaribuNimewamiss munoooooo [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Nipo mimi mke mwee mnaendeleaje lakini msalimie shem lakeCjambo Obe nahc harufu ya shunie hapa kama mtaenda kigamboni najtolea kuwacndkiza
GoodLeo nimekuja na utafiti hewa
Ukiwa mvivu sehemu uliyo ajiriwa kwa kisingizio kuwa namtajirisha bosi basi amini umefeli kufikiri
Maana hata shughuli zako utazifanya kwa uvivu kwa kujidanganya mbona nimejiajiri
Jitume kwa chochote ufanyacho kwa faida ya maisha yako na familia yako
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Woyooooo
Werevaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya mambo vipiii ya kuoneshana simu yangu smg ak 47 au tekno wereva
Veeepee[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Dah2/Maria De Nazare
Huyu binti amezaliwa miaka 25 iliyopita na bado anadunda tu
Alizaliwa na vichwa viwili vinavyofanya kazi vizuri kabisa yaani kama aina fulani ile ya mnyama mwenye vichwa viwili
Wazazi wakaamua kumpa jina linalofanana na manage Yesu Maria wa Nazareth ila usilitaji bure jina la Bikira Maria hivyo huyu anaitwa tu MaraDe Nazare
Huyu ni binti wa Kibrazil kiuhalisia ni mapacha walioungana yaani chini ni mtu mmoja ila juu ndo wawili au tuseme tu mtu mwenye vichwa viwili
.......
Poa PoaNishachagua mie dada
OooohoooNimeona tag jamaan si unajua geni zile ndio sekta zetu kaumbuka vibaya yule dada nimeona insta kwa mange
Najiona mpya ujue kukutana na hayo mambo ya signature jaman ya simu unayotumi aisee nimetoa tena sijui itarudiPoa Poa