Manchester United bado hawajaweza kutoa kiasi wanachotaka Inter Milan ili kumsajili winga Ivan Perisic, 28, lakini wanatazamia kukamilisha mkataba wa pauni kati ya milioni 45 hadi 50 (Independent).
Ukiona timu inambembeleza mchezaji basi hiyo ni klabu ndogoMeneja wa Arsenal Arsene Wenger pia amedhamiria kutomuuza Alexis Sanchez, 28, ambaye hajasaini mkataba mpya na inadhaniwa anataka kwenda Manchester City (Independent).
Mi sijala ugali Siku ya 3 hiiHi Kapuku hotel mpishi hatendi haki kabisa anko, hivi ni lazima kila mchana tupikiwe ugali?
Wengine ni watu wa wali kwenda mbele, asubuhi tunaanza na vitumbua, mchana biriani , jioni walinazi. Kabla hakujakucha tunagonga kiporo
My cookie. ...nakumisKula chips
Na ni fundi kweliiHuyu kweli fundi na Man Utd tunamuhitaji
Hao wengine zaidi ya Morata ni habari tu za kuuzia magazeti
......
Ubarikiwe sweetieMpaka hapo sina la ziada.
Leo katika Historia imeletwa kwenu nami Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ kwa udhamini mkubwa kabisa wa Mzee wa UF
Kwaherini kwa sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiona timu inambembeleza mchezaji basi hiyo ni klabu ndogo
.......
Na ukiona mtu anabembeleza penzi huyo naye ni "mtu mdogo"[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]