Makapuku Forum

Leo katika Historia

11/7/2007 - Lady Bird Johnson. Mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Lyndon B. Johnson anafariki Dunia.

At age of 04 !!!
What a blessing ?


**************
Mumewe ndo Rais wa Marekani mwenye zali la mentali ukipenda sema ngekewa
Alikuwa makamu wa Rais JFK ...alipouawa ndani ya siku hiyohiyo akawa Rais
Pia kutoka chini huko kwenye useneta ulikuwa Ni mwendo wa ngekewa tu watu walikufa anachukua nafasi....
Uongozi wake wa kisiasa ni km zali la mentali tu ....Profesa Jay ndo anayeelewa
Kuna watu wana bahati duniani kitu pekee kibaya alichoachiwa na JFK ni vita ya Vietnam ambayo Wamarekani walipigwa
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…