Wachina hatari sanaHivi karibuni ilifanya utambulisho mahali hapa DSM,Masharti yao ilikua ulipee pesa,watakupa mashine unayohitaji kwa shughuli zako na wanakufungulia akaunti unakua mbia,bado mchakato unaendelea nia yaobilikua kupata wateja
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Oooooh! I got it mama..Nashukuru umeshamnunulia simu ya hadhi Sakayo wa T,simu yake ikiita kama yuko mbele za watu anatoka kwenda mahali kusikiliza,kama kuchat anachat ndani ya pochi kama mimi..ameomba sana umnunulie nyingine Mungu akubariki kwa ununuzi huo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Hahaha..Mama unakunywaga soda gani
Wachina inabidi wauawe km Wayahudi labda ndo dawa pekee ya kuwauziaMuda mfupi ujao. Hawa jamaa watakuwa no 1 kwa kila kitu
We call it group of campanies..8/ISS A/S
Ilianzishwa mwaka 1901
Hii ni kampuni ya Kidenmark inayojihusisha na utoaji wa huduma tofauti tofauti yaani ni kama kampuni tanzu ya Azam ambayo kwenye media IPO,kwenye usafirishaji IPO,kwenye viwanda IPO.......sasa na hii ndo Hivyo hivyo imewekeza sehemu mbalimbali duniani tena katika sekta na maeneo mbalimbali
Mapato yake hufikia USD 15 billion Kwa mwaka
Imeajiri wafanyakazi 464,000
************
Matajiri huwa hawadharau kuwekeza hata kwenye biashara ya pili,viwembe ,pini n.k wakati wenye akili finyu hukimbilia kuwekeza tu kwenye biashara kubwakubwa na kudharau biashara ndogo mfano kuuza karanga
. . ... ...
Nakuja mamaNakumiss tuu, toka busu la asubuhi mpaka saa hii kweeeli
Mi nna nuclearOooh! Sipo mimi
Ila sakayo anajua kutumia Ak-74
Soma ujumbe wako huko juu bhanaSiwaelewi weww na BH ujue..
Wanajitahidi sana, sasa waweza vaa suit kuanzia dar to mkoani, Higer ni full kiyoyozi, wifi, charging system nkWachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
Heb wacha hizo basi...Curious
Karibu tenahapana sio new member, ila wakati makapuku inaanzishwa mwanzoni nilikuwa naingia sana ila hapa katikati sijaingia kutokana na majukumu
Sakayo huwa anasema "Ewaaaaaaa"Jimena, Jimenes unajua ni nini!
Nimefungua simu tu nikakutana na post yako;
Kilichotokea moyo umeenda mbio Jimena, nilikosa la kukujibu na imenibidi ninywe maji ya baridi ndipo sasa angalau mapigo yanaenda sawa.
Jimena;
-ulikuwa wapi mpendwa!
-nini kilikusibu?
-nimeuliza uliza kwa rafiki zako
-hadi pacha wako nimempigia
Kila mara nachungulia humu nikuone lakini wapi.
Nimefarijika kukuona hapa
Moyo wangu umejaa
Nafsi yangu imechangamke
Jimena, Jimenes majina yako yalivyo matamu.
Hebu sema neno roho yangu ipone jamani
Hahahaaaa! Kama Naona betri chini ya mezaUsijali
Mbona nshavunja tayari.... Na hii werevaa nimeitupa kwa furaha love
Kho Kho Kho Kho Kho KhoJimena, Jimenes unajua ni nini!
Nimefungua simu tu nikakutana na post yako;
Kilichotokea moyo umeenda mbio Jimena, nilikosa la kukujibu na imenibidi ninywe maji ya baridi ndipo sasa angalau mapigo yanaenda sawa.
Jimena;
-ulikuwa wapi mpendwa!
-nini kilikusibu?
-nimeuliza uliza kwa rafiki zako
-hadi pacha wako nimempigia
Kila mara nachungulia humu nikuone lakini wapi.
Nimefarijika kukuona hapa
Moyo wangu umejaa
Nafsi yangu imechangamke
Jimena, Jimenes majina yako yalivyo matamu.
Hebu sema neno roho yangu ipone jamani
Sina tecno wala hiyo galaxyIwe KAMA ya T anayomletea Sakayo sio TECNO ,UTAKIMBIA
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Huo ni uchochezi sasaMkuu naona kitambi kwa mbaali, dadangu anakufaa sana
Asante baeOooooh! I got it mama..
Nimeinunua juzi na jana nilipost humu..
Pambe tuuHahaha
Sema neno sasaa