Makapuku Forum

Oooops!!! Naomba nipate a glass of water kwanza huku nikiyatafakari maneno haya kwa utulivu mkubwa.
Ila nna swali so ukija uniite nikuulize
 
Mwenyewe naumia kweeeli na hii werevaa yangu.... T ndo hataki kabisaa kuninunulia Samsung Galaxy navumilia tu hivi vijembee vya jf siku inapita
Pole mwanangu lakini tunakusoma na unabarikiwa,sisi kapuku ndio tuwe tofauti kama tumeamua kuwa tofauti,tusitukane,tusikashfu,tusicheke...maana kuna mahali nimeona uzi kabisa khs visimu vyetu sasa sisi ni lipi litatutofautisha na wale?
 
Mie nasononeka kwa kweeli, mpaka nipate Samsung Galaxy mamy.... Mie siishi kapuku tuu natembea kila kona ujue.... Hebu ongea na T maana nitapata ule ugonjwa wa mfadhaiko
 
TOP TEN
Kwa bongo nafikiri Mzee Bakhressa na kampuni yake ya Azam ndo wanaongoza kwa kutoa ajira .....maana kuanzia Dar hadi vijijini tunatumia unga wao,vingamuzi vyao,ukija kwenye michezo pia Azam Fc inalipa vizuri wachezaji kuanzia kuwapa nyumbani,matibabu,usafiri n.k
Licha ya kwamba serikali kupitia taasisi au mashieika ya umma imeajiri watu wengi ila mchanga wa sekta Binafsi katika ajira ni mkubwa ....ila Kwa upande wa kulipa vizuri wafanyakazi kotekote wapo wanaolipwa vizuri na wanaolipwa vibaya

Sasa tuangalie makampuni yaliyoajiri watu wengi duniani
Karibuni
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…