Makapuku Forum

pole mama vijana walikuwa wanataniana
Unajua mimi niko Ok,hapa nimejifunza Upendo na mshikamano,ila pia nimejifunza kuna kauli ndogondogo za utani kama mtu hana MSULI
WA IMANI ,HAKIKA ANAJISIKIA VIBAYA,NA UBAYA HAKUNA SANDUKU LA MAONI....Tunaweza tukasema ok watu wawepo wasiwepo Kapuku itakuapo,lakini kuna faida gani mtu ajisikie kuwa hana umuhimu wakati tayari MUNGU ALITUWEKA PAMOJA?IPO SABABU YA KUENDELEA KUWA PAMOJA AT ANY COST...MARA NYINGI HUWA NATOA ANGALIZO..ULIMI KIUNGO KIDOGO LAKINI KINALETA MAFARAKANO WHY?KWAKUA KILA MTU ANANAMNA YA KUTAFSIRI MAMBO..TUMUOMBE SANA MUNGU KUCHUNGA KAULI ZETU

KUNA MAMBO YA UTANI KABISAAAA NA YATABAKI UTANI

ILA KUHUSU SIMU..NI KWELI HAZILINGANI HAPA KUNA WENYE LAPTOP,DESKTOP,IPAD NK WENYE TECNO ,HUWAEI..WAKIONA HV WANAONA HEE KUMBE MIMI MNYONGE...

MI UKIONA KASIMU KANGU UTACHEKA,LAKINI NIKO POA TU..NA TUPO PAMOJA LKN NAKUHAKIKISHIA KUNA WAKATI HUWA NAWAZA NINGEKUA NA LAPTOP INGEKUA VIZURI ZAIDI..SO TUSAIDIANE MAHALI HAPA PAWE PEMA NA SALAMA
 
Mwenyewe naumia kweeeli na hii werevaa yangu.... T ndo hataki kabisaa kuninunulia Samsung Galaxy navumilia tu hivi vijembee vya jf siku inapita
 
Asante mama mchungaji hakika busara zako zinahitajika mahali hapa,kikubwa tuishi kwa kuchukuliana
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…