Makapuku Forum

Asante Mama Mchungaji. Asante kwa kuwa mwombezi wetu. Asante kwa ushauri wako. Asante kwa upendo wako. Asante kwa bashasha zako. Asante kwa kusimama katika kweli daima. Asante kwa kila kitu.

Mimi sijakwazwa na mtu humu na daima nitabakia kuwa kapuku tu. Tuko pamoja Mama Mchungaji. Tuendelee kuombeana na kusameheana bila kuchoka. Nami kama kuna kapuku nilimkwaza humu, naomba nisamehewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…