sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hizo stori za vijiweni. Ngoja mwenyewe aje athibitishe kama ni kweliNipo Shem tatizo majukumu mengi uzee nao unajongea.
Nasikia kaka yako kapata mchepuko.
Hajapata bado, Patience123 alimpiga chini.Hajapata mwenza tu?
Dah namsubiri kwa hamu Sana.Hizo stori za vijiweni. Ngoja mwenyewe aje athibitishe kama ni kweli
Ha Haaaa Haaaa alishindwa Ku caree sasa hivi anavizia deadballs youngblood azime taaYoung blood si kaachwa na nahrene?? Naye sahivi kabaki msela tu
Kweli young blood umeishiwa. Mwanamke anataka ufundiHa Haaaa Haaaa alishindwa Ku caree sasa hivi anavizia deadballs youngblood azime taa
Muulize EMMYGUY analijua hili
Fanya hivyo. Mwenzio hajambo kabisa tunamshukuru Mungu tuko poaDah namsubiri kwa hamu Sana.
Mke mwenzangu hajambo?
Ndio uanaume huooo.....Kaka hiyo pole naipokea kwa mikono mitatu (mmoja wa moyoni), asee nimepigika hili wiki sintokaa nisahau
Kaka yupi???Nipo Shem tatizo majukumu mengi uzee nao unajongea.
Nasikia kaka yako kapata mchepuko.
Kwani bado hajaanza kutema mate maana nataka nimletee ndimu na embe mbichiFanya hivyo. Mwenzio hajambo kabisa tunamshukuru Mungu tuko poa
Naona unatest kina cha maji kwa miguu.Kumbukumbu tu.....nahrene anawasalimia woooote
Peter ChokaKaka yupi???
Young blood ukuje unipe maelezo maana mke mwenzangu nampenda sana
Shem mbona unanizushia habari mbaya.Young blood si kaachwa na nahrene?? Naye sahivi kabaki msela tu
Kama ulijua vile tayari, fanya haraka umlete wifi yako sema anasumbua. Hivi kwanini mkiwa kwenye hali hii mnakuwa hiviKwani bado hajaanza kutema mate maana nataka nimletee ndimu na embe mbichi