Ahiiiii...Twende bafuni kabisaa... Leo ni maji ya baridi... Si unajua ile iliki niliitwanga
Waache bhanaNenda setting kisha signature halafu weka tick kwenye none
Husna + Kimario = TECNO
.........
Kwanza kubali hali yako kisha anza kuiona ni changamoto tu halafu kabiliana mayo
Mfano mimi tangu mwezi April naumwa ila nimeikubali hali yangu na kumeza dawa kila siku na kufuata nasharti ya Daktari now nipo nafuu kiasi ila mwanzoni sikuweza kabisa hata kutembea
.......
HahahaAhiiiii...
Nasikia harufu ya pilau huko bafuni ujue..!
Leo nanukia pilau walai..
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Nimetamani ujueAfu huo mkono huache tuu! You know it yourself..
Sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Bitoz
Husna wa TECNOTuacheni na Husna wa Obe.
sent from my Tecno kimeo using jamiiforum mobile app
Zamani ulikuwa ukienda porini unaajili mlinzi
Sent from my E5653 using JamiiForums mobile app
Haya bwanaHusna wa TECNO
Leo simwachi nimepata pa kushika
......
Mbona hata mie natumia tecno tena ya promo tigo ila najionea kawaida tuUkienda setting kuna signature sasa weka none mi leo ilitokea ila nilirekebisha mapema maana natumia TECNO ni noma
........
Dada maTECNOMbona hata mie natumia tecno tena ya promo tigo ila najionea kawaida tukila mbuzi anakula kwa urefu Wa kamba yake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ila tumeijuaa leooMbona hata mie natumia tecno tena ya promo tigo ila najionea kawaida tukila mbuzi anakula kwa urefu Wa kamba yake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hahahaa! Kuna jamaa nimemkumbuka sijui kama ilikuwa ni stori ya kweli ama ni mboyoyo.Hahaha
Kwani hujazoea tuu jamani...
Hahaha umenifurahisha sana mkuu
Kumbe sisi wa Tecno tunachekwa sana
Dreams never end by fear
Naona leo mko live na Husna..Husna wa TECNO
Leo simwachi nimepata pa kushika
......
Hiyo ni kweeeli kabisaaHahahaa! Kuna jamaa nimemkumbuka sijui kama ilikuwa ni stori ya kweli ama ni mboyoyo.
Kaenda kwa uchepukajini huku Tanga bhana.., watoto wa pwani wakamfukiza madawa ya kutosha..
Kaspend 2 days yuko ndani anabanikwa na mmama fulani..
Sasa kasheshe ilikuwa siku ya kurudi kwa mkewe..kila akioga yale marashi hayaishi yaani.
Ila jomba alilala gesti siku 2 tena ananukia marashi tuu..! ile sabuni ya Forma-Gold ndio ilikuja kumuokoa harufu ikaisha..
Nukia ila akunukishe mkeo..!
sent from my Tecno Kimeo using jamiiforum mobile app
Km ni hiyo anywe maziwa kwanzaNi ulcers kipindi kile ilijirudia na hata leo pia imerudi
Dreams never end by fear
Muendelezo wa sehemu ya 25 tafadhali KatibuKatibu
Kumbe tuko pamoja madamHata mie 20 ilikuwa inanikera eti, ilibidi nirudi tuu 10