Makapuku Forum

Daktari yupi broo yaan hapa natumia mipanado tu huku maralia inapimwa kama ukimwi ukitumia kale kakipimo wanatogawaga.
Sijawah ona microscope..
Kwanza kubali hali yako kisha anza kuiona ni changamoto tu halafu kabiliana mayo
Mfano mimi tangu mwezi April naumwa ila nimeikubali hali yangu na kumeza dawa kila siku na kufuata nasharti ya Daktari now nipo nafuu kiasi ila mwanzoni sikuweza kabisa hata kutembea

.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…