Makapuku Forum

We mfano mzuri unaonekana tulivyo wamoja ...mtu hasipoonekana tu siku moja tunajua huyu hayupo kama ni kutafuta jinsi ya kumpata inafanyikaaa ..MUNGU HATUPE NINI ...


Lets our love shine forever
Ndo hivyo thread ukisoma meanzoni utaona imejaa fujo 7bu tulikuwa wengi kama panya....walivyoanza kupungua ndo mambo ya maana yakaanza maana ilikuwa rahisi kuelewana na aliyepost ujinga tukawa tunamwambia waziwazi ndo thread ikapata heshima na watu wazima kuingia

Pia "uongozi" umechangia sasa angalia mwanzisha thread aandike post hata korokoro hapo tayari thread ishakosa heshima na mtu akipost ujinga hawezi kulaumiwa

Kuiga kitu ni jambo moja....ubunifu na maarifa ni jambo jingine
......

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…