[emoji123] [emoji123] [emoji123] mby city aka bhana koma kumwanya
Mashabiki wa Njombe kuweni wazalendo vaeni jezi za timu yenu achaneni Simba na Yanga
Njombe jirani zetu msituangushe
Mimi Mbeya City
.
...
Nilijisikia tuWala usinge-mqoute [emoji3][emoji3]!
Hatujawa liquid [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wazee wa likes wamewabwaga[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Ili?Sijui hata...! Au tuwanyeshwe members kahawa ? [emoji3][emoji3]
Naona mmemchukua Antonio RodigerKukomoanaa
Labda twende kwenye gahawa la Nyoka_mzeeUna kahawa kweeeli wewe auuu ileeee
[emoji106] [emoji15] [emoji15]Aiseeee
Hilo pori vipi... Maana Shunie nae alienda pori
Hii sign yako bora uitoe tu mkuuSakayi [emoji777]
Sakayo [emoji736]
Dreams never end by fear
Rudi hapaHahahaaa.. [emoji125] [emoji125]
Kosa kubwa ni kutaka kujilinganisha na akina fulaniPoa Poa
Mie niliacha bhanaHahaa[emoji3]
Naacha kwenda pori kma hadi shunie anaenda porini..
Well said broDikteta[emoji117] ana majukumu ya kikazi
Mimi[emoji117] Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend[emoji117] kasema wazi kazi zimembana
Lee[emoji117] vitu vyake vipo pale pale
Obe [emoji117] Muziki upo km kawa
Shululu[emoji117] kila siku magazeti yapo
Jimena[emoji117] Kaziba pengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie[emoji117] kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu yaani copy & paste .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha au kushindanisha kitu ambacho sisi hatujishughulishi nacho
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
HahahaUnataka kuliamsha Dude.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahaAmejaaliwa hekima ataelewa tu
Dreams never end by fear
Hatunaga mbwembweeNaona mmemchukua Rodiga
AmeeenOnce a Kapuku..
Forever......
Naye ameamua maana kila lee empire akienda akirudi anakuwa kivuruge basi naye kaamuaHahaa[emoji3]
Naacha kwenda pori kma hadi shunie anaenda porini..
Evaton watakapokuja bongoIli iwejee mkuu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Poa Shululu mume ya T