Dikteta[emoji117] ana majukumu ya kikaziNdiooo
Mbona uzi umepoa hivyo
Ujue na wewe uliandika kimawenge...Sio kwa kwa kauli hiyo? Kuna mtu nimemudhi kwani?
PoleHapana Zenji hospitali umamos na jpili hazifunguliwi
Hahahaaa.. [emoji125] [emoji125]Una kahawa kweeeli wewe auuu ileeee
Hahaa[emoji3]Aiseeee
Hilo pori vipi... Maana Shunie nae alienda pori
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Zenji ni Nchi,kisiwa,mtaa au kijiji?
Mbona kuna mambo ya ajabu wakati ni Tanzania hapa hapa
....
Shikamoo mama [emoji7] [emoji7] [emoji7]Tumosa !
Unataka kuliamsha Dude.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aiseeee
Hilo pori vipi... Maana Shunie nae alienda pori
Poa PoaDikteta[emoji117] ana majukumu ya kikazi
Mimi[emoji117] Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend[emoji117] nasema wazi kazi zimembana
Lee[emoji117] vitu vyake vipo pale pale
Obe [emoji117] Muziki upo km kawa
Shululu[emoji117] kila siku magazeti yapo
Jimena[emoji117] Kaziba lengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie[emoji117] kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Utaniudhi ujueBasi...
Cheers [emoji485][emoji485][emoji485]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndiyo
Amejaaliwa hekima ataelewa tuJamaani hayo majina..[emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi sakayo akisoma hapo anaelewaje sasa?
Once a Kapuku..Dikteta[emoji117] ana majukumu ya kikazi
Mimi[emoji117] Tangu J3 sipo vizuri kiafya ndo maana kumi kubwa siandiki pia kuna mambo yamebana
Trancescend[emoji117] nasema wazi kazi zimembana
Lee[emoji117] vitu vyake vipo pale pale
Obe [emoji117] Muziki upo km kawa
Shululu[emoji117] kila siku magazeti yapo
Jimena[emoji117] Kaziba lengo la Dikteta japo siyo sana
Shumie[emoji117] kuna majukumu yamembana
Kina Bailly, Husna Tumosa,Mama Mchungaji,Nyagei n.k mbona wapo mara mojamoja km kawaida yao
Ila pia akina Yuda hawajakosekana .....ndo hapo usemi wa pats shida umjue rafiki yako
Tukubali uzi upo kwenye kipindi kigumu na hii siyo mara ya kwanza kumbuka uzi una zaidi ya mwaka kinachofanya uonekana kwamba kumepoa sana ni uwepo wa uzi mwingine ambao unafanana na huu kila kitu .....hivyo km vile watu wanajisikia kulinganisha
Tuishi sisi km sisi no matter what
.............
Much missing you brother how's there?
Njema mpendwaHabari za j2 wapendwa
Itabidi uli-verified tuHahaaaa [emoji3][emoji3]
Tumosa aitwe Tumosa tuu! Let T be me only..
Kama vipi naweza kulipia insurance ilo jina la T
Weekend madamNdiooo
Mbona uzi umepoa hivyo
Nimeingia tu nikakutana nayoUko fastaa