Makapuku Forum

Ahahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyo
Tuseme tuu ukweli... Huwa kuna la kukumbuka kiukweli... Liwe zuri au baya.. Huja tuu automatically kwa kweeli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…