Yaani hawa watu ndo wanatutengenezea vizazi maskini maana unakauta kijana ameoa lakini bado anaishi kwa wazazi wake ukiuliza unaambiwa ndo tamaduni zao
Ahahhah me sasa kwakweli sikukumbuki hata kama kuna mengi mazuri tumewahi fanya kama tumeamua kuachana tuachane tu kwa Amani itokee tu tukutane kwa bahati mbaya tusalimiane lakini sio nianze nikutafute nimekumiss sijui nini hakunaga hiyo