Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Jul 5, 2017 #231,181 Shunie said: Ahahha ngoja aanze na wa husna i love u halaf uje kuku kapanda baiskeli Click to expand... Hahaha Mr Nice nimemmiss sana jamani..
Shunie said: Ahahha ngoja aanze na wa husna i love u halaf uje kuku kapanda baiskeli Click to expand... Hahaha Mr Nice nimemmiss sana jamani..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 5, 2017 #231,182 Mndali ndanyelakakomu said: Sawa na kibaha anaishi kwenye Yale majengo yalikuwa ya mizani au (Natania tu) Click to expand... Hayo hayo kaka
Mndali ndanyelakakomu said: Sawa na kibaha anaishi kwenye Yale majengo yalikuwa ya mizani au (Natania tu) Click to expand... Hayo hayo kaka
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 5, 2017 #231,183 shululu said: Nimeshangaa shemeji kutoka Tanga salama Click to expand... Shemeji nilikuwa bize sana maana hata kukutana na wenyeji ilikuwa ngumu zaidi ya sehemu ya kula
shululu said: Nimeshangaa shemeji kutoka Tanga salama Click to expand... Shemeji nilikuwa bize sana maana hata kukutana na wenyeji ilikuwa ngumu zaidi ya sehemu ya kula
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,566 Reaction score 94,825 Jul 5, 2017 #231,184 Mondray said: Niaje mazee hope mko poa, Demi jibu hujanipa.. Click to expand... Nimeshapata mume. Ni mke wa pili wa Lee
Mondray said: Niaje mazee hope mko poa, Demi jibu hujanipa.. Click to expand... Nimeshapata mume. Ni mke wa pili wa Lee
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 5, 2017 #231,185 shululu said: Sasa hivi nipo hapa mbezi mwisho kwenye foleni Click to expand... Nipitie hapa kibamba
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 5, 2017 #231,186 Mndali ndanyelakakomu said: Dada tanga wana ardhi nzuri sana kwa kilimo cha kila aina Click to expand... Ardhi nzuri sana ni baada ya Tanga kama unaenda holoholo, ni ardhi nzuri sana
Mndali ndanyelakakomu said: Dada tanga wana ardhi nzuri sana kwa kilimo cha kila aina Click to expand... Ardhi nzuri sana ni baada ya Tanga kama unaenda holoholo, ni ardhi nzuri sana
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 5, 2017 #231,187 Tumosa said: Hku kwema kaka pole na mihangaiko Click to expand... Asante dada nimesha poa
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,566 Reaction score 94,825 Jul 5, 2017 #231,188 husna muba said: Mi Niko poa tu Kaka yangu huyoo demi achana nae kadhaolewa na lee Click to expand... Aachane na mimi kabisaaaaaa
husna muba said: Mi Niko poa tu Kaka yangu huyoo demi achana nae kadhaolewa na lee Click to expand... Aachane na mimi kabisaaaaaa
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 5, 2017 #231,189 Mndali ndanyelakakomu said: Kwenye nyumba za mizan au Natania tu shemeji Click to expand... Nipo huku juu mkoani, upo kibamba ipi
Mndali ndanyelakakomu said: Kwenye nyumba za mizan au Natania tu shemeji Click to expand... Nipo huku juu mkoani, upo kibamba ipi
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,566 Reaction score 94,825 Jul 5, 2017 #231,190 Mondray said: Duu nguja niwe mpole tu..nitafutie mwingine basi dada.. Click to expand... Mkuu tafuta mwenyewe. Wa kutafutiwa hanogi
Mondray said: Duu nguja niwe mpole tu..nitafutie mwingine basi dada.. Click to expand... Mkuu tafuta mwenyewe. Wa kutafutiwa hanogi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 5, 2017 #231,191 Sakayo said: Hahaha Mr Nice nimemmiss sana jamani.. Click to expand... Umekumbuka nini aisee shemeji
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 5, 2017 #231,192 Bitoz said: Kipaumbele chake kujaza Wafaransa .... Click to expand... Kweli maana nilivyo ona ndevu nikamkumbuka diaby
Bitoz said: Kipaumbele chake kujaza Wafaransa .... Click to expand... Kweli maana nilivyo ona ndevu nikamkumbuka diaby
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 Jul 5, 2017 #231,193 Shunie said: Kitu kipili pili kichwanii mshkaji wangu Click to expand... Hahahaha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Jul 5, 2017 #231,194 Sakayo said: Hahaha Mr Nice nimemmiss sana jamani.. Click to expand... Ahahha shikamoo pesa jamaan alijua kutumia pesa enzi zake
Sakayo said: Hahaha Mr Nice nimemmiss sana jamani.. Click to expand... Ahahha shikamoo pesa jamaan alijua kutumia pesa enzi zake
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 5, 2017 #231,195 Mndali ndanyelakakomu said: Nipitie hapa kibamba Click to expand... Upo kibamba ipi
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Jul 5, 2017 #231,196 BlessedHope said: Mara ya kwanza nami nilidhani uongo...kile cheti cha vipimo kilichowekwa kimefutwa jina ,tarehe,mwaka alafu vikaandikwa tena..nikadhani ni yeye anajoke...yaani sijui kwanini iko hv..PUMZIKA KWA AMANI IBRA Click to expand... Apumzike kwa amani
BlessedHope said: Mara ya kwanza nami nilidhani uongo...kile cheti cha vipimo kilichowekwa kimefutwa jina ,tarehe,mwaka alafu vikaandikwa tena..nikadhani ni yeye anajoke...yaani sijui kwanini iko hv..PUMZIKA KWA AMANI IBRA Click to expand... Apumzike kwa amani
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jul 5, 2017 #231,197 Sakayo said: Obe Naomba wimbo wa Mr Nice Click to expand... Kidaliiii poo
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Jul 5, 2017 #231,198 Shunie said: Atakupeleka kokote utakako Click to expand... Sawa dada
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,566 Reaction score 94,825 Jul 5, 2017 #231,199 husna muba said: Shunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee Click to expand... Ibra ni nani?
husna muba said: Shunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee Click to expand... Ibra ni nani?
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Jul 5, 2017 #231,200 shululu said: Asante mama watoto Click to expand...