Makapuku Forum

3.The Most Wasted Day in Life is the Day which we have NOT laughed
Hii imetulia sana kama maji ya mtungi
 
Pole ni nani?poleni sana sana
Alikuwa anapost hadithi kule entertainment sasa hapa akasema anaumwa kifua kinabana anashindwa kupumua vizuri mi nikamwambia kwamba labda itakuwa pumu
Lakini kuna mmoja akanambia kuwa nisifanye mchezo na afya za watu ikabidi ninyamaze

Basi nikazungukia ule uziii kila siku sasa nimeingia ndio nakutana na hizo habari kuwa ibrahim kashatuacha

Kuna jamaa anasema alimpigia simu akamwambia amegundulika ana pumu akapanga kesho yake akamuone sasa ile kesho ilipofika akampigia simu ibra ikapokelewa na mdogo wake ndo akamwambia kwamba mwenye simu kafariki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…