Makapuku Forum

Kuna siku nilisikia walifanya jaribio la kurusha ndege Ila ndege hiyo ikashindwa kuruka. Hivi ni kweli au propaganda tu za hivi vyombo vyao vya habari?? Na kama ni kweli Korea wako serious kweli??
Aunt....sio ndege lilikuwa ni kombora H 10 na ni kwelii lilishindwa kuruka kitu ambacho kilibezwa sana hasa nchi zinazomfatilia huyu jamaa ikiwemo ya Trump ...ni kawaida kutest mambo kabla ya kuuingia kwenye battle ...ila soon liliruka kama kawaida na baada ya wiki mbili nakumbuka ulikuwa mkutano wa G8 jamaa akayarusha ...

Jana ndo ilikuwa komesha make ata hilo la jana mwanzoni liligoma kuruka ...ila hili lina impacts kubwa ndo maana mpaka state wameamua kukutana ...japo mzee mapanki aliwafanyia suprise kwenye kumbukumbu za uhuru wa Marekani ...
 
Yetu macho na masikio tucheki mwisho wake cjui hill movie litaishajeeee
 
Ndio lilikuwa kombora nimeshakumbuka.

Mapanki ni shida nyingine hapa duniani walahi
 
HV kweli Mugabe anawrza kusema hivyo??!!

Nahisi mengine huwa wanamsingiziaga bwana
Anasema sana,kuna siku walimuuliza kwanini hajaachia madaraka akasema hili swali ni kwa viongozi waafrika tu...mbona malkia Elizabeth haulizwi...niambie atatoka lini madarakani?


Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…