BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Life is possible in mars,provided you go with supportive equipments,supply of oxygen,supply of water....and ready to stuggle maana huko hakuna hewa ya Oxygen,hakuna maji,na force ya gravity ni ndogo kuliko ya duniani...ila wanasayansi wataweza2/Martian Flag
Inajulika zaidi kama Mars Flag au Planetary Flag
Ni bendera ya safari ya Mars...inatumiwa na Mars Society na pia Planetary Society
Wenzetu wanajiandaa kuishi huko sisi tunagombea mchanga
.....
Asante kwa kumi kubwa1/Nazi Flag
Mbunifu wa Hii bendera ni Adolf Hitler sijajua alikuwa na madhumuni gani ila ilikuwa kwa ajili ya uzalendo zaidi
Ikasambaa na kutumika kwenye mataifa kibao kama kiashiria cha unazi kisha ikazuiwa kwenye mataifa mengi miaka ya baadaye
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
NitatumaNaomba uitume mama mchungaji
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Haaaaahaaaa, maji hufuata mkondoMdau Bitoz naona leo mbuzi wako umewatembeza mjini ....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nitatuma
Kwani mwalimu ni mtu ganii
Umeshakula tayari?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Karibu mkuu nilikuwa nasubiri ubwenche
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanao kapatwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bado natafakari...nimeogopa sana,imekuaje?[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanao kapatwa
NdiooooUmeshakula tayari?
Nimeweka story kulee[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwanao kapatwa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji127]salamu zako nimezipokea mpenzi, naona umebadili avatar, hongera.
Mpenzi obe nakusalimuuuu
Nafikiri hukunielewa...Mwalimu ni mtu muhimu sana katika taifa, yeyote mwenye kujitambua kapita katika mikono ya mwalimu. na mind you, nawaongelea walimu kisasa na wa mazingira.
Sijui kama nimeweza kukata kiu yako ya jibu
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji127]
Asante ObeMuziki: Makosa Hayako Mbali, Ikaribie Sheria
Ni siku nyingine tena tunakutana hapa baada ya kuwa tumefanya michakato ya kujiingizia kipato. ubinadamu kamili ni kuwajibika kwako mwenyewe, family na taifa kwa ujumla.
Nasema kila wakati na sitochoka kusema kuwa uwepo wako hapa, yes, wewe Kapuku mwenzangu una maana kubwa sana kwenye jukwaa hili. Hii ni kwa sababu unaleta kitu cha ziada ambacho huwezi kukipata sehemu nyingine (well, huwa nakuwa hapa mara nyingi na lile Jukwaa la chini kabisa-kuliweka kwao chini kulinifanya nikatafiti, sikufanya makosa)
Kuliwekwa picha ya mtoto akichafua sakafu isiyokauka na wadau torvic , Clkey , Sakayo na BH kutaja wachache walichangia na haja ya mtoto kuachwa ajifunze ikaibuka nami naongeza makosa ni kosa, hilo la kwanza. Si kwa mtoto wala mtu mzima isipokuwa mtoto ana haki ya kuyafanya maana asipoyafanya sasa kujifunza itakuwa ngumu. Anaruhusiwa kufanya makosa akijifunza kutembea, ataanguka na usipomwangalia ataamka na kutembea tena, ukimwangalia atajua kakosea na atalia umuhurumie. Tuwafundishe watoto kuwa mbali na makosa sababu sheria ikaribiwe kisawasawa. Sijamaliza.
Kingine, leo Wi-Fi hapa ninapodoea imekuwa na shida na inakuja kwa mbwembwe kama ripoti ya makinikia lakini nikitaka niupload itu inagoma yaani kama waziri anakataa kuwa ripoti ya makinikia ni ya rahisi na kwa kuwa wewe si rais sahau kujua kilichomo.
Muziki sasa, wakati mwingine ni furaha sana kumtazama mwanamuziki akighani bila kuwaona wapiga vyombo kama gitaa, tumba na kadha wa kadha vyombo. Ndicho tutakachoangalia leo
Anaitwa Rory Graham almaarufu Rag'n'Bone Man, na sasa hivi anatamba na wimbo wake Human. Ni mwingereza na sifa zake zinatambaa sasa kutokana na wimbo huu ambao unachezwa sana online. Hebu burudika na wimbo huu, natamani mashairi niliyokuwa naandika miaka ya A-level ningeyawekea umiliki maana hakyanani tena mengi yaliyoimbwa yamefanana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Shem kwa nani
Mume wngu mwenyeweTahadhali ni muhimu sana
Asante kwa kumi kubwa
Ubarikiwe sana asante kwa 10 bora kabisa siku ya leo.
Pamoja sana wadauAsantee